New song coming soon
Mpendwa, Ili kufikia hatima yetu na wito wetu katika maisha, mapambano ni lazima. Mungu ni mwaminifu kutufundisha siku kwa siku namna ya kupigana kwa hekima ili tupate ushindi. #maishanivita New song coming soon. Nifuate kwenye social media platforms zangu za Facebook na na Instagram kwa content zaidi lakini subscribe YouTube…




