Mpendwa,
Ili kufikia hatima yetu na wito wetu katika maisha, mapambano ni lazima. Mungu ni mwaminifu kutufundisha siku kwa siku namna ya kupigana kwa hekima ili tupate ushindi.
#maishanivita
New song coming soon.
Nifuate kwenye social media platforms zangu za Facebook na na Instagram kwa content zaidi lakini subscribe YouTube channel yangu pia, ili uwe wa kwanza kupata update wimbo utakapo toka.
@pewa_fortune

