Daily devotional

  • Home
  • Daily devotional
  • September 19, 2024

New song coming soon

Mpendwa, Ili kufikia hatima yetu na wito wetu katika maisha, mapambano ni lazima. Mungu ni mwaminifu kutufundisha siku kwa siku namna ya kupigana kwa hekima ili tupate ushindi. #maishanivita New song coming soon. Nifuate kwenye social media platforms zangu za Facebook na na Instagram kwa content zaidi lakini subscribe YouTube…
  • September 19, 2024

Psalm 18: 31-35

"For who is God besides the Lord?     And who is the Rock except our God?  It is God who arms me with strength     and keeps my way secure.  He makes my feet like the feet of a deer;     he causes me to stand on the heights. He trains my hands for battle;…
  • September 19, 2024

Psalm 18: 31-35

Psalm 18: 31-35 Kwa maana BWANA ndie atufundishae kupigana vita, na yeye ndie atupae ushindi.🙏 #Maishanivita 28.09.2024
  • September 19, 2024

PEWA: Maisha ni Vita

Mpendwa, Ninamshukuru Mungu kwa ajili ya yako, na kwa majira haya mapya, na kibali alichonipa, kukuletea wimbo mpya unao itwa - MAISHA NI VITA! Endelea kunifuatilia kupitia social media platforms zangu za Instagram, Facebook na ku subscribe kwenye YouTube channel yangu inaitwa, Pewa fortune. Yako mambo mengi Mungu amekuandalia kupitia…
X