Mpendwa,
Ninamshukuru Mungu kwa ajili ya yako, na kwa majira haya mapya, na kibali alichonipa, kukuletea wimbo mpya unao itwa – MAISHA NI VITA!
Endelea kunifuatilia kupitia social media platforms zangu za Instagram, Facebook na ku subscribe kwenye YouTube channel yangu inaitwa, Pewa fortune.
Yako mambo mengi Mungu amekuandalia kupitia platform hii ili kuyabariki maisha yako.
Stay tuned!
#maishanivita

